Seventh-Day Adventist Church

IGEMBE SDA CHURCH Kanisa sahihi kwa malezi ya kiroho

Menu




Karibu katika tovuti ya kanisa la Waadventista Wasabato Igembe. Kanisa hili linapatikana kwenye mtaa wa Kiwira ulio katika Jimbo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Kwenye tovuti hii utakutana na mambo yatakayobadilisha maisha yako na kukuandaa kukutana kwa amani na Mkombozi wa ulimwengu huu Yesu Kristo uso kwa uso. Karibuni.